This is the Trace Id: 65b45a9e00ea1bc7c100ea3d6646783c
Ruka uende kwenye maudhui kuu Azure Copilot Windows Surface Xbox Outlook Accessories Microsoft AI Microsoft Security Azure Dynamics 365 Microsoft 365 for business Microsoft Power Platform Windows 365 Developer Center Documentation Microsoft Learn Microsoft Tech Community Microsoft Marketplace Visual Studio Software companies View Sitemap

Internet Explorer 11 (32-bit) ya Windows 7 PEKEE

Internet Explorer itapumzishwa na haiungwi mkono tena kuanzia Juni 15, 2022. Ikiwa tovuti yoyote unayotembelea inahitaji Internet Explorer, unaweza kuipakia upya na hali ya Internet Explorer (IE) katika Microsoft Edge. Microsoft Edge ndio kivinjari kinachopendekezwa na Microsoft.

Muhimu! Kuchagua lugha hapa chini kutabadilisha maudhui kamili ya ukurasa kuwa lugha hiyo.

Pakua
  • Toleo:

    11.0.0.4

    Tarehe Iliyochapishwa:

    15/2/2023

    Jina la Faili:

    EIE11_SW-KE_MCM_WIN7.EXE

    Ukubwa wa Faili:

    32.1 MB

      Internet Explorer itapumzishwa na haiungwi mkono tena kuanzia Juni 15, 2022.
      Ikiwa tovuti yoyote unayotembelea inahitaji Internet Explorer, unaweza kuipakia upya na hali ya Internet Explorer (IE) katika Microsoft Edge. Microsoft Edge ndio kivinjari kinachopendekezwa na Microsoft.
      Kwa maelezo zaidi kwa makampuni na wasimamizi wa IT kuhusu Internet Explorer 11, tafadhali bofya hapa.
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayotumika

    Windows 7 Service Pack 1

    • Kompyuta/ Kichakataji: Kompyuta yenye kichakataji cha 233MHz au juu zaidi (kichakataji cha Pentium kinapendekezwa)
    • Kumbukumbu: MB 512
    • Nafasi ya Kiendeshi Kikuu:MB 70
    • Onyesho: Kiwamba cha VGA Kuu (800 x 600) chenye mwonekano wa juu na rangi 256.
    • Vifaa vya nyongeza: Modemu au muunganisho wa Intaneti; Kipanya cha Microsoft, Kipanya Mainzi cha Microsoft, au kifaa cha kuekeleza kinachotangamana.
  • Kusakinisha Internet Explorer 11, bofya Pakua, na ufuate maagizo kwenye skrini yako.